“kila siku napokea picha kwenye akaunti yangu ya “facebook“wapenzi wa
kazi zangu wananitumia wakiwa wa na kava la filamu yangu mpya inanipa
faraja sana kwani muitikio wao ni mkubwa mm nawashukuru sana watanzania
na watu wapenzi wote wa filamu zangu popote dunia,asante mungu“wastara
juma