Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa mshtuko taarifa za
tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya
ya Temeke, Josephat Yona Patrick.
Chama kupitia Kurugenzi ya Mawasiliano na Uhusiano, mbali ya kukemea
kwa nguvu zote tukio hilo la kihuni na mengine ya namna hiyo yenye lengo
ya ukatili dhidi ya binadamu, katika hatua ya sasa kinapenda kusema
yafuatayo juu ya tukio hilo ovu ;
KUPATA HABARI KAMILI SOMA HAPA