Ali Kiba na Redsan wameingia studio kupika wimbo pamoja. Wakali hao wamerekodi wimbo wao kwenye studio za Homeboyz Records jijini Nairobi Kenya. Producer wa wimbo huo, Sappy ameshare picha akiwa na mastaa hao.
Redsan, Sappy na Ali Kiba
“New single from Alikiba & Redsan coming soon…Maaaade tune…produced by Me,” ameandika Sappy.